SIFA NA VIGEZO VYA KUJIUNGA NA CHUO CHA DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT)
UTANGULIZI Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) ni taasisi ya elimu ya juu nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi na teknolojia katika ngazi mbalimbali. Chuo hiki kilianzishwa mwaka 1997…